Monday, August 19, 2013
SABABU TANO ZA KUFANIKIWA KUTOKA KWA LADY JAY D
Binti machozi au unaweza ukamwita anakonda amefunguka sababu tano za kuweza kufanikiwa ktk maisha 1 kujiamini kutoogopa kufanya kile unachoamini unaweza 2 kuipenda kazi unayoifanya hata kama inakipato kidogo 3kufanya maamuzi sahihi bila kuangalia pembeni 4kwenda kuchukua chako bila kusubili kupewa 5kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka
Q CHILLA BILA SINDANO ZA MASAA HOW WILL I SURVIVE
Unaweza ukastuka kuhusiana na kilichompata mtu mzima q chilla bila sindano za masaa awezi akasavaivu hiyo imekuja mara baada ya q chilla kufunguka kuwa how will i survive wakati yule doctor mwenye shift ya night ya kunitibu hayupo mwisho wa siku q chilla aliandika kwenye ujumbe huo kuwa hiyo ni project yake mpya SINDANO ZA MASAA kumbe chilla alimaanisha kuwa anakuja na kibao kipya kitakachoitwa sindano za masaa
Sunday, August 18, 2013
P UNITY WA KENYA BIGGEST GROUP LIVE NEXT SATURTDAY WASHINGTON DMV AKISINDIKIZWA NA MSANII WA TANZANIA AJ UBAO
Perfoming hits kutoka kwa p unity wa kenya wenye track hits kibao YOU GUYZ SI LAZIMA JUU TU SANA GENTLEMEN KUSHOTO KULIA
Saturday, August 17, 2013
LILY WHYNE AFUNGUKA KUHUSU DEDICATION 5
Akijibu tweet za mashsbiki wake kuhusu mixtape mpya kutoka kwake amesema kazi yake ni dedication 5 na baada ya siku 10 utaisikia kwenye masikio yako na fahamu huu ni mwendelezo wa mixtape za lily whyne dedication na huu ni dedication ya 5 huku ikumbukwe mixtape ya dedication ilianzishwa mwaka 2005
DRAKE AMETHIBITISHA KUWEPO KWA JAY Z KWENYE ALBAM YAKE
rapa wa young money drake ni miongoni mwa wasanii wenye headlines sana na mwenye kutengeneza stori kashawahi kuwa na bifu na chriss breez Mtu mzima drake amefunguka kuwa kwenye albamu yake ya NOTHING WAS THE SAME mtu mzima carter jay z atakuwemo ndani na lily whyne na hudson mohwake tnght cd hiyo inatarajiwa kutoka september 17
MMOJA WA MEMBER WA B2K APIGWA CHUPA CLUB
Mmoja wa b2k member RAZ B amepigwa chupa kwenye club mar baada ya kutaka kuamulia ugomvi uliokuwa umetoke klabu habari zinasema kuwa ugomvi huo ulitoke wakati yeye yuko kupaform ndipo alipotaka kwenda kuamua na kupigwa chupa na kupelekwa hospitali
MSTARI MMOJA TU WA KENDRICK LAMAR WAZUA NGOMA ZINGINE 12 KUJIBU
Si rahisi kwa mstari mmoja wa rapa kuwafanya rapa wengine kupanic na kutunga nyimbo kujibu mstari huo tu hiyo imetokana na rapa huyu kujiita kuwa yeye ni mfalme wa newyork mstari huo unasema IM MAKAVELS AM A KING OF NEWYORK KING OF COST ONE HANDS I JURGE THEM BOTH huo ndio mstari uliozua balaa la kufanya marapa wengine kupanic na kumjibu kwenye tweeter na wengine kurekodi vision ya kumjibu
COLLABO YA JUSTINE BIEBY NA MICHAEL JACKSON YA VUJA MTANDAONI
Baba na mwana katika mziki wa pop justine bieby na baba yake michael jackson wamesikika katika audio moja ambayo inaonekana bieber akiwa amemshirikisha michael SLAVE TO RHYMTH umevuja mtandaaoni inawezekana umeshawahi kuusikia wimbo wenye jina kama hilo wala hujakosea kuna wimbo kama huo ambao ameufanya michael Lakini katika rmx hiyo ya slave to rhymth imesikika ikiwa na sauti ya bieby na mj na kufanya iwe rmx ya baba na mtoto Japo kuwa haijawa wazi kama hiyo rmx ilidhaminiwa au lakini huwenda justine bieby anjua kila kitu kuhusu wimbo huo kwa sababu nyimbo hiyo ilivyoanza kusambaa jana alianza kutweet juu ya mfalme huyo
CHRISS BROWN KUHUKUMIWA TENA SAA 10000
Rapa chriss brown amehukumiwa tene upya kufanya kazi za nnje mbali mbali kwa saa 1000 hukumu hiyo imetolewa jana na jaji los angeles baada chriss kwenda mahakamani jana na imetokana na kuwepo na mapungufu mengi katika kazi alizokuwa ametakiwa kufanya kutokana probation aliyokuwa nayo. katika hukumu hiyo chriss anatakiwa kufanya kazi mbali mbali na kazi zingine atakazo pewa na idara ya probation Chriss alionekana mtu mwenye hasira sana juu ya hukumu hiyo
Thursday, August 15, 2013
DIAMOND ASEMA SABABU YA KUCHELEWA KWENYE STEJI KENYA
Kupitia kipindi cha redio momba mseto cha citzen diamond amefunguka sababu ya yeye kuchelewa kupanga kwenye stegi inatokana na hela nusu aliyolipwa na promota wake kumlipa nusu ya hela na nusu nyingine walikubaliana atamlipa kabla hajapanda stegini lakini diamond anadai hakufanyiwa hivyo na baadae saa9 kasoro ndiyo yeye kupanda stegini na kupewa hele yake na hivyo anapanda tu stegini watu waliaanza kufanya vurugu kwa kurusha makopo na chupa lakini hali ilitulia na shoo ilifanyika
Tuesday, August 13, 2013
JAY Z AWAPA BONUS WAFANYAKAZI WAKE ZAIDI MILLIONI 70 KILA MMOJA HADI WAFANYAKAZI WA NDANI
The rapa hip hop SHOWN CARTER aka jay z ni miongoni mwa wasanii wenye mkwanja mrefu sana pande za state licha ya kuwa mume mzuri wa biyonce pia ni boss mzuri wa wafanyakazi wake baada ya kuamua kuwapa bonus ya kutisha wafanyakazi wake ya sh millioni 70 biyonce pamoja na jigga wamefunguka kuwa wanarudisha fadhila kwa wafanyakazi wao 80 kwa kazi nzuri wanayoifanya
FEZA KESI KUKUDONDOKA DAR LEO
Mwakilishi kutoka tanzania feza kesi kutoka kwenye jumba la big brother atarajiwa kudondoka dar leo na watanzania waombwa kumpokea ktkt uwanya wa JNIA ikumbukwe tu feza alitolewa ktk jumba hilo juma pili week iliyopita Kupitia mwanamziki wa tanzania barnaba amewaombwa watanzania wajitokeze kumpokea kwa wingi mrembo huyo pia alisema kuwa anatarajiwa kuingia na aina ya ndege ya south airways Baada ya kutia timu bongo atapumzika ktkt hoterini na kesho alhamisi atakuwa na mkutano na waandishi wa habari
DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA COLLABO NA WILL POUL WA KENYA
Mtangazaji wa redio will m tuva wa citzen redio na citzen televion alimkutanisha diamond na msanii wa kenya anayeimba bongo gospal will poul kufanya collabo moja jamaa huyo alikuwa na ndoto ya kufanya collabo na msanii diamond kwasababu kuwa alidai ndiye rol modo wake akinukuliwa will poul "dah najisikia vizuri sana imekuwa dream comez true diamond ni rol modol wangu ambaye nlikuwa nampenda tokea sijaanza kuimba msanii huyo ametamba na nyimbo kibao huko kenya kama sitolia aliyoimba na sister mulilo msanii huyo amekuwa akipanda stegini na kuupiga wimbo wa mawazo wa diamond
CHIDI BENZI NIMETUMIA ZAIDI YA MILLION 15 KUTIBIWA MADAWA YA KULEVYA
Rapa chidi benzi ameweza kukiri kwa mdomo wake kuwa alikuwa anatumia madawa ya kulevya kwa kipindi kilefu sana Lakini amezungumzia pia kuwa ameshatumia zaidi ya million 15 kutibiwa huko nairobi kenya CHIDI alifuguka zaidi kuwa ilitokana na show aliyokwenda kuifanya huko nairobi lakini ikambidi aulizie dawa ya madhara hayo ambayo alishaambiwa kuwa ipo kule hivyo akaambiwa kuwa anahitajika atoe million 5 ili aweze kutibiwa na alifanya hivyo na aliweza kutibiwa na amewashauri watu wengine kwenda huko kwa ajili ya kuweza kutibiwa
MTOTO WA USHER RYMOUND ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITARY
Mtoto wa mwanamziki wa r n b usher rymound ambaye anaitwa usher rymound v ambaye alipata week iliyopita baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea na kuruhusiwa kutoka hospitari Kupitia KAMERA ZA TMZ zilimuonesha mtoto huyo akiwa na bibi yakwe kwenye baadhi ya michezo ya watoto MIGHT JUMPS iliyopo atlanta huko marekani akiwa amefungwa bandegi kwenye mkono wake wa kulia
Monday, August 12, 2013
KAMA ZAMANI VIDEO YA MWANA FA KUTOKA ALHAMISI HII
Video hiyo ambayo imishaanzwa kuchezwa kwenye kituo cha chanel o huko afrika kusini ambapo kwa sasa mwana fa na ay wapo huko kwa ajili ya shoo ambayo walifanya siku ya idi na wakiw wanashoot video ya mwana fa kama zamani
ULIKUWA UNAJUA KUWA LINEX NDIYE MSANII ALIYETAKIWA KUIMBA CHORUS YA WIMBO WA NEY WA MITEGO SALAMU ZAO
Msanii ney wa mitego ameendelea kuwa msanii ambaye kila wimbo akitoa lazima azue utata baada ya wibo wake mpya salaamu zao wimbo ambao aliouachia week iliyopita imeshazua mambo Katika wimbo huo ney linex ndiye aliyetakiwa aimbe chorus lakini kutokana na maadhui ambayo yalikuwepo kwenye nyimbo hiyo pamoja na kuwataja watu majina linex hakuweza kufanya hivyo na badala yake NEYBA kufanya chorus Kupitia ukurasa wake wa facebook linex aliaandika wimbo wa saalamu zao mimi nilitakiwa nifanye chorus lakini kutokana na mashairi ya mule ndani ambayo yananitaja hadi mimi nikaona salamu zinipate hadi mimi kigoma all stars haijafa but kila m2 yuko bize tu kwa sasa ila tunahitaji time tu Kwa upande wa wolter chilambo naye pia alizungumziwa kwenye baadhi ya mstaari unaosema HIZI SAALAM ZIWAENDEE MADAMU LITHA NA BONGO STAR SEARCH MSHINDI ANALIPWA NINI BORA KAMA MAGUMASHI NAMUONA WOLTA CHILAMBO KAPIGIKA KAMA ZAMANI HAJI RAMADHANI KACHOKA YUKO KITAANI MILIONI HANSINI ZAO ANAZILA NANI ACHENI UBABAISHAJI WEKENI MAMBO HADHARANI NA KATIKA AUTRO AMEMTAJA TENA WOLTA AAH WOLTA CHILAMBO NAJUA UNAHALI MBAYA KIUCHUMI MILIONI 50 HUNA HATA BAISKELI HUNA WEWE HIZI MFIKISHIE MADAMU LITA MWAMBIE SINA TATIZO NAE
Sunday, August 11, 2013
SABABU YA CHRISS BREEZ KUANGUKA KIFAFA
Imebainika kuwa kuwa kifafa alichokipata chriss brown jana kilitokana na msosngo wa mawazo aliyokuwa amepata baada ya kuundikwa vibaya kupitia mtandao TMT umeripoti kupitia mwakilishi wa chriss bwown kuwa kuanguka kwa chriss bwon kulitokana na uchovu pamoja na kesi zinzomkabili kutokana na kumpiga mpenzi wa rihana wa zamani
HATIMYE TANZANIA YAAGA RASMI MASHINDANO YA BBA
Friday, August 9, 2013
MR BLUE " NILISHADET NA NAGI WEMA ILA WARDA NDO MKE MTARAJIWA
RAY C "MADAWA YA KULEVYA NI UGONJWA KAMA UGONJWA MWINGINE NA SI WASANII TUU"
Mwanamziki nguli tanzania REHEMA maalufu kama RAY C amefunguka kuwa si wasanii tu ndio wanatumia madawa ya kulevya hata watu wenye heshima zao wapiga debe wanafunzi lakini pia amefunguka juu ya kuwa agonjwa huu ni ugonjwa mwingine na pia unatibika alizungumza mwananadada ray c hii imetokana na ray c kuweza kupata matibabu juu ya ugojwa wake kutokana na kupata msaada kutokwa kwaraisi
Wednesday, August 7, 2013
DIAMOND PRIVATE JET KUTOKA NAIROBI HADI DAR
THE prince of bongo fleva diamond kupitia kampuni ya coca amechukuliwa ndege private ya fast jet kutoka nairobi mpaka dar kutokana na mlipuko uliokuwa umetokea kwenye uwanya wa jomo kenyata jana kumbe diamond naye alikuwepo ndani hivyo alishindwa kusafiri na kampuni ya coca ikimchukulia diamond usafiri binafsi wa ndege
LINNA KWA MARA YA KWANZA KWENYE TV POGRAM SHOO
Msanii maalufu tanzania lina sanga anatarajia kuanzisha kipindi chake kiitwacho 3D kupitia clouds tv akizungumzia dhumani la kipindi hicho mwananadad lina amesema kitakuwa kipindi cha watoto wadogo wenye vipaji kuwaendeleza na pia kuwaamasisha waendelee kusoma kwa bidii "LENGO LANGU NI KUWAAMASISHA WAZAZI WOE WA PANDE MBILI KWAMBA WASIWALEMAZE WATOTO KWENYE VIPAJI KULIKO KUSOMA NA KWA UPANDE MWINGINE WAHESHIMU VIPAJI VYAO
VANESA MDEE NYIMBO YANGU MPYA ITAKUWA BOMB SHELL
Nawe pia ni mmoja kati ya fans wa vanesa mdee na unafikiri kuwa baada ya closer ni wimbo gani unafuata basi vanesa amesema mapigano yanaendelea Pia funguka kuwa wimbo wake utakuwa moja ya wimbo ambao utakuwa bomb shell lakini pia amezungumzia challage ambazo anakumbana nazo ni pamoja kupiga na kupokea simu chache na watu wamesema kwa sasa mwanadada huyo yupo bize sana VANESA amesema anatarajiwa kuingia leo studio kurerese ngoma yake mpya
CHRISS ADAI AMECHOKA KUANDAMWA NA STORI ZA KUDAI KUMPIGA RIHANA NA HUENDA ALBAMU YAKE YA X IKAWA YA MWISHO
Chriss amefunguka kuwa siku za usoni hivi karibini huuenda akaachana kabisa na muziki ZE BREEZ amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa tweeter kuwa amachoshwa na kuandikwa vibaya kila kukicha kutokana na kosa alilolifanya akiwa na umri wa miaka 18 la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake rihana akinukuliwa breez BEING FEMOUS IZ AMAIZING WHEN ITS FOR URE MUSIC AND TALENT AM TIRED TO BE FEMOUS FOR MISTAKE I MADE WHEN I WAS 18 AM COOL AND OVER IT @CHRISS BROWN AGOUST 6 2013 DON WORR MAISTREEM AMERICA AFTER THISS ALBAMU IT WILL PRPPALLY BE MY LAST ALBAM Huku akifunguka kuwa X itakuwa albamu ya mwisho itakayoingia sokoni mwaka huu nikiwashirikisha wasanii KENDRICK LAMAR KELLY ROWLAND WIZ KHALFA NA RIHANA
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JOMO KENYETA JKIA WAFUNGWA BAADA YA KUTOKEA MOTO
Serikali ya kenya imeufunga uwanja wa JKIA mara baada ya moto uliozkuka leo asubuhi ya saa 10alfajiri huku chanzo cha moto huo kikiwa bado haijajulikana Raisi uhuru kenyata pamoja na maafisa wengine waliwasili ili waone hali halisi ya tukio hilo zima Ndege zote zilizotzkiwz ziwasili leo ktkt uwanya huo zimehamishiwa kwenye kituo kidogo cha mombasa
GEORGE W BUSH ALAZIMIKA KUFANYIWA OPARATION YA MOYO
Raisi wa marekani wa zamani GEORGE W BUSH amelazimka kufanyiwa oparation ya moyo huko DOLLAS TEXAS huko marekani baada ya madaktari kungundua mishipa yake ya damu ilikuwa imeziba ARTENARY BLOCKOGE Kwa mujibu wa ofisi BUSH FLED FOLD wa COPPER CLINIC kundua tatizo hilo wakati wa check up ya kawaida jumatatu week hii na walimshauri george afanyiwe upasuaji na zoezi hilo lilifanyika juma nne ktk haspitali ya TEXAS HEALTH PRESBYTERIAN Nakatika taarifa ya bwana FOLD amesema zoezi hilo limemalizika vizuri na kwa sasa raisi GEORGE BUSH yuko vizuri kiasi
Tuesday, August 6, 2013
PETER OKEYE WA PSQUARE AMVISHA PETE MKEWE KWA AINA YA KIPEKEE
Mmoja ya wanamziki maalufu afrika kutoka nigeria PETER OKOYE wa psquare amzisha pete mchumba wake LOLA OMOTAYE kwenye mkono wa kushota kwa aina yake. Kila mmoja huwa na namna yake ya kumsapraise mpenzi wake pindi anapotaka kumvisha pete mpenzi wake lakini kwa pacha POUL OKOYE ilikuwa tofauti sana amemvisha pete mpenzi wake aina ya DIAMOND RING akimnunulia na gari aina ya RANGE ROVA EVEQUE pamoja na maua aliyokuwa ameyaweka mbele ya gori pamoja na ujumbe wa maneno ulioandikwa PREASE SAY YES na baada ya hapo PETER OKOYE alipost kwenye instragram picha ya gari hilo na kuandika OFFICIAL MRS LOLA NATASHA OKOYE
RIHANA AUNGANA KUSHEREKEA CROP OVER CARNIVAL
Mwanadada rihana ameungana na na wanaichi wa nchini mwake BARBADOZ kwenye sherehe za crop over carnival zinanzo chezwa kila mwaka huku akiwa amevalia mavazi ya yanayo fanana na kabila kizulu la afrika kusini huku akiwa anafuraha na kwenye post yake kwenye ukurasa wa instragram akiandika anaipenda nnchi yake
50CENT AKANA MASHTAKA YA KUMPIGA MCHUMBA WAKE WA ZAMANI
Rapa wa hip hop CURTICS JACKSON 50cent alifikishwa mahakamani hapo jana kwa kosa la kudaiwa kumpiga mchumba wake wa zamani mwana wa mwanae na kuharibu mali Kwamujibu wa mahakama hyo awali ilimuambia CENT akae mbali na mwanadada DAPHNE NARVARES na pia asiwasiliane naya kwa aina yoyote ile Lakini mwanadada huyo alilalamika kuwa alipigwa na 50cent na kwenye nyumba yake ya calfonia huku polisi wakidai vitu vya thamani ya $7100 vilialibiwa Lakini kupitiwa wakili wa 50cent amekana na mashtaka ya kwamb yeye hajaisika nakesi hiyo
JOSE CHAMILIONE KUSHUKA DAR WEEK HII KWAAJIRI YA SHOO
Msanii mkubwa wa afrika JOSEPH MAYANJA aka mr jose chmilione kutoka uganga anataraji kushuka dar week hii kwa ajiri ya kubadilisha hali ya hewa ya dar kwa kufanya shoo katika kiota kipya cha burudani ESCOPE ONE kilichopo dar slaam jumamosi hii agost 10 Ikumbukwe kuwa jose chamillione hvi karibuni alikuwa kwenye tour ndefu huko marekani pia alifanikiwa kupata mtoto wake wa 4 CHRISTIANI MAYANJA mwezi july mwaka huu
DIMOND PLATNUMZ ASHUTI VIDIO YAKE MPYA AFRIKA KUSINI
THE PRINCE OF BONGO FLEVA nasibu abdul kwa sasa yupo afrika kusini kwa ajili ya kuendeleza vidato kadhaa lakini pia platnumz amepost baadhi ya picha za video yake ya wimbo wake mpya ambao bado haja uachia baadhi ya picha alizopost ni pamoja na bonge moja la gari aina ya ERRAR iliyotengeneawa na wataliano huku ikiwekewa plate number binafsi zenye namba ya PLATNUMZ na WASAFI
Monday, August 5, 2013
ULIKUWA UNAJUA KUWA PLATNUMZ NA PENY WANAPENDA KUSIKILIZA NYIMBO ZA MSANII GANI SOMA HAPA!
THE PRINCE OF BONGO FLEVA diamond platnumz pamoja na mwanadada PENY wamefunguka kuwa mwanamziki ambaye wamekuwa mda mwingi wanautumia kusikiliza nyimbo zake ni MR DIA GAMBE young killer kutoka na uandishi wa mashairi wa nyimbo zake LAKINI DJ LANGA ikipiga stori na PENY kuhusu wimbo wa young killer mpya unaokwenda kwa jina la MR SUPAR STAR kuhusu baadhi ya mistari ambayo inamzungumzia yeye ambayo inasema SASA VIPI NINGEKUWA NA PENY NINGEKUWA FREE AU NINGEKUWA NA MWASITI WA THT ILA PENNY NAHISI DIAMOND ATANISUMBUA HATA MWASITI PENDO LANGU ATALIVUA lakini penny amefunguka kuwa youngkiller ni mwanamziki wanaye mkubali sana mwanamziki aliye ngaa kwa muda wa kipindi kifupi tuu
Subscribe to:
Posts (Atom)