Social Icons

Pages

Monday, March 25, 2013

RUMAZI KUHUSU CHIDIBENZI KUMPIGA CHUPA NGWE.A

Kupitia mitandao tofauti tofauti ya kijamii habari ambayo imechukua nafasi ni kuhusu rashid almaalfu kama chidbenzi kumpiga albati mangwea chupa. .     lakini kwa upande wake lapa chidi amekanusha habari hizo na kwamba ukweli anaujua manwea hivyo ndivyo anavyodai chidi.    juhudi za kumtafuta ngea ziligonga mwamba kutokana na namba ya simu yake kutokupatikana.    lawama zote zinaenda kwa chidi kutoka kwenye akaunti yake ya twita kutoka kwa mashabiki wake wakimlalamikia kwa kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG HII

Sample Text

WASILIANA NA DJ LANGA KUPITA SALUMUJUMA9@GMAIL.COM AU 0769523120 0716906250

Sample Text

AMINI KILE UNACHOKIFANYA DAIMA USIKATISHWE TAMAA NA MTU ENDELEA KUSHOW LOVE NA HII BLOG