HIVI NDIVYO MWANAMUZIKI HYPA ALIVYO ANDIKA KWENYE FACEBOOK JUU YA MOTHER"S DAY
appy mother's
day, nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama yangu kwa kunizaa,kunilea
na kunipa mahitaji yote muhimu mpaka kufikia leo najitambua najielewa na
naweza kujitegemea. sina maneno mengi kwako mama yangu nachoweza kusema
ni neno moja tu'' NAKUPENDA'' nikwambie nini tena.
No comments:
Post a Comment