|
Add caption |
Kijana maalufu kutoka chuo cha uandishi wa habari na utangazaji nurudin paulo. amefunguka hivi karibuni kuwa yeye ni mkali wa wasafi kutoka pande hizo. hiyo imekuja mara baada ya kijana huyo kumaliza mtihani wake wa mwisho huku akitarajia kwenda kufanya fild pande za mbeya na hivyo ndivyoalivyokuwa ametupia mara baada ya kumaliza mtihani huo.
No comments:
Post a Comment