Saturday, March 2, 2013
NOKIA 105 | INAYOKAA NA CHAJI SIKU 35, ITAUZWA Tsh. 30,00/=
Baada ya Nokia 1100 huenda Nokia 105 ikaja kuwa simu maarufu zaidi hasa kwenye nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania.
Hii ni baada ya kampuni hiyo ya simu kuzindua simu hiyo yenye uwezo wa kutunza chaji kwa siku 35 kila unapochaji.
Simu hiyo imetengenezwa maalum katika maeneo ambayo umeme hakuna ama unasumbua lakini pia kama ‘backup phone’ pale zingine zinapozima.
Ikiwa inatarajia kuingia sokoni wiki kadhaa zijazo, Nokia 105 ambayo bei yake ni paundi 13, sawa na shilingi 30,000 za Tanzania pia ina tochi na FM radio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HAWA NDO MATAJIRI 10 DUNIANA MWAKA 2013 ANGALIA PICHA ZAO HAPA
ReplyDelete2:58 AM GAX blog
Jarida la Forbes limetangaza majina ya mabilionea 1,426 duniani kwa mwaka 2013. Mfanyabiashara wa Mexico Carlos Slim ameendelea kukamata nafasi ya kwanza kwa mwaka wa nne mfululizo. Ingia ndani kusoma list nzima ya matajiri 10 duniani. 1. Carlos Slim Helu – Mexico Net Worth: $73 billion (UP) Source: telecom Citizenship: Mexico 2. Bill Gates Net worth: $67 billion (UP) Source: Microsoft Citizenship: U.S.A 3. Amancio Ortega Net worth: $57 billion (UP) Source: Zara Citizenship: Spain 4. Warren Buffett Net worth: $53.5 billion (UP) Source: Berkshire Hathaway Citizenship: U.S.A. 5. Larry Ellison Net worth: $43 billion...
JE UNAWAJUA MATAJIRI 10 DUNIANI KWA MWAKA HUU 2011?
ReplyDelete2:58 from langa