Monday, January 27, 2014
Friday, January 24, 2014
PENY "DIAMOND NI MTU MZURI SANA" FAHAMU ZAIDI HAPA
Penny afunguka ukweli wa mambo asema yeye na Diamond wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachokifanya maishani.
VIDEO YA NNJE YA BOX YA WEUSI YAPOKELEWA VIZURI MTAANI
Ile video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na wale mashabiki wa kundi la weusi hatimaye leo imeshaachiwa rasmi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)