Rapa lil wyne amefunguka juu ya ugonjwa wake uliokuwa una mtesa na kusema kuwa ulikuwa ni ugonjwa wa epileptic" unaofanana na kifafa. weezy amefunguka yote hayo ktk inteview yake na dj felli wa radio ya angeles power 106. baadhi ya nukuu za weezy "iam an epileptic" "icould have died soon" kauli hiyo ya weezy imemaliza kabisa zile rumazi kuwa yeye alikuwa anaumwa kutokana na madawa ya kulevya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment