Sunday, April 28, 2013
PROJECT MPYA YA MR DEAR GAMBE STAMINA QUICK RACKA WAKIHUSIKA
Young killer mwanamuziki wa kizazi kipya mwenye umri wamiaka kumi na tisa amefanikiwa kuingiza projecti yake mpya mtaani inayojulikana kwa jina la JANA NA LEO huku vichwa viwili ndani stamina pamoja na quicklacka wakihusika kumpa sapoti dogo. ambapo nyimbo yake ikiwa imesha achiwa kwenye mitandao tofauti tofauti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment