Social Icons

Pages

Thursday, April 10, 2014

STAR BOY AWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE

Msanii anayefanya poa kutoka mbeya ambaye anafahamika kama star boy classic amewaomba radhi mashabiki wake wa mbeya kutokana na
kutofanyika kwa uzinduzi wa video yake.

Hii imekija mara baada ya star boy kupata ajari siku ya tarehe 6 juma pili iliyopita akiwa nyiani kuelekea kenye uzinduzi huo akiwa na devy star ambapo walipata ajari njiani.

Star amesema anamshukuru mungu kwa kuwa walipata majeraha madogo madogo tu na kuwaomba radhi mashabiki wake wote waliokuwa wakimsubiri pale bubs siku hiyoo.

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG HII

Sample Text

WASILIANA NA DJ LANGA KUPITA SALUMUJUMA9@GMAIL.COM AU 0769523120 0716906250

Sample Text

AMINI KILE UNACHOKIFANYA DAIMA USIKATISHWE TAMAA NA MTU ENDELEA KUSHOW LOVE NA HII BLOG