Sasa mziki wa mbeya umeonekana kidogo umeanza kuthaminiwa baada ya baadhi ya wadau kuwadhaminii wasanii wa mbeya.
Hii imekuja mara baada ya msanii anayetambulika kama feskizo kupata mdhamini{menager} baada ya kuona uwezo wake wa kuimba.
Akipiga stori na dj langa huyo meneger anayetambulika kama thomas wa dox amesema ameamua kufanya hivyo kwani anawapenda sana wanamziki wa mbeya na amesema yuko tayari kuwasaidia wanamziki wa mbeya.
Pia amesema kwa sasa yuko katika mipango ya kuanzisha studio yake ambayo itakuwa inaitwa kwa thomasi wa dox studio na hii ni kuhahakikisha mziki wa mbeya unaendelea kukua.
Na alimalizia kwa kusema kuwa kwa sasa ameanza na feskizo huku wengine wengi wakifuata kama zax b na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment