Thursday, March 28, 2013
TAKWIMU ZA GUCCI KUFUNGWA JERA
Rapa gucci amepata headlines mara baada ya kesi zake za mara kwa mara kutokana na vurugu zake. hii imekuja mara baada ya rapa huyu kumpiga chupa mwanajeshi mmoja iliyosababisha mwanajeshi huyo kukimbizwa hospitali. ukijaribu kuangalia takwimu zake za ugomvi ni tokea mwaka 2009alituhumiwa siku 90 kwenda jera mara baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. pia mwaka 2005 alifungwa miezi 6 mwaka2009 alifungwa jera mwaka mmoja tena halkadhalika mwaka2011 alifungwa miezi 6 baada ya kukiri kumfanyia vurugu mwanamke mmoja. hata mwaka huu ndio imetokea ishu hiyo hapo tena ya kumiga mwanajeshi huyo ndio gucci.
RAISI JAKAYA MRISHO ATOA USHUHUDA JKT
Raisi wa awamu ya nne wa tanzania dr jakaya mrisho kikwete ametoa ushuhuda kwa wanajeshi wa jkt juu ya uizi pindi wawapo jeshini. ushuhuda huo ameusema pindi alipokuwa anazungumza na wanajeshi hao kuhusu yeye alipokamatwa anaiba wali na bwana wali wa jeshini pindi alipokuwa jeshini. aliendelea kusema kuwa pindi alipokuwepo jeshini alikuwa na kikundi chake cha kuiba wali siku hiyo ilikuwa ni zamu yake kwenda kuiba na hivyo anatoka tu akakamatwa. "jeshi si mchezo nakumbuka siku niliyoiba wali na kukamatwa na bwana wali enzi zangu nilipokuwa jeshini"alisema jakaya. na mwisho aliwaasa wanajeshi hao kutokuwa na tabia kama yake pindi wawapo jeshini.
Wednesday, March 27, 2013
RAPA CHRISS BROWN KUR-LEASE ALBAM MPYA YA X
Mwanamuziki nguli wa rnb tokea pande za state newyork city chrissbrown a.k.a. baba rihana amefunguka kupitia vyombo vya habari vya humo juu ya albam yake mpya. crissbrown amefunguka kuwa ameamua kulipa jina la x albam yake kutokana na alama ya x inamaanisha kulaniwa. na pia amezungumzia juu ya ndoa yake na mwanadada rihana na kusema mipango ipo lakini bado haijawa official.
Monday, March 25, 2013
UWANJA WA TAIFA WAINGIZA MILL 22,600 LAKI 5 ELFU 46 KWENYE MECHI JANA DHIDI YA MORROCO
RUMAZI KUHUSU CHIDIBENZI KUMPIGA CHUPA NGWE.A
Kupitia mitandao tofauti tofauti ya kijamii habari ambayo imechukua nafasi ni kuhusu rashid almaalfu kama chidbenzi kumpiga albati mangwea chupa. . lakini kwa upande wake lapa chidi amekanusha habari hizo na kwamba ukweli anaujua manwea hivyo ndivyo anavyodai chidi. juhudi za kumtafuta ngea ziligonga mwamba kutokana na namba ya simu yake kutokupatikana. lawama zote zinaenda kwa chidi kutoka kwenye akaunti yake ya twita kutoka kwa mashabiki wake wakimlalamikia kwa kitendo hicho.
KAJALA SASA HURU BAADA YA KULIPIWA FAINI NA WEMA SEPETU.
Msanii wa filamu tanzania kajala hatimaye amekuwa huru baada ya kesi zake mbili tofauti zilizokuwa zinamkabilli. hii imekuja mara baada ya kutoka kwa hukumu ya kesi zake hii leo huku akitakiwa alipe faini ya mill 13 au kukubali kifungo cha kwenda jera. lakini jambo ambalo halikutegemewa mwigizaji mwenzeke wema sepetu alimlipia kajala hela yote na kuamsha furaha na shamra kwa watu waliokuwepo. pia wema sepetu alikuwepo kumpa sapoti rafiki yake.
Thursday, March 21, 2013
LADY GAGA" BADO SIJA CHUMBIWA"
Mbali na picha kuonesha hivyo Lady Gaga ukweli waja nje...!!
Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha yake iliyopata umaarufu na kuwa gumzo Iliyopostiwa na Terry Richardson ikiwa na caption, "Gaga showing
off her new engagement ring!"
Ila chanzo chetu kimekanusha hilo na kusema ni pete tuu na Gaga is not
engaged to anyone.
It's unclear if Gaga is
even dating anyone right now ... Kwani sio muda tangu wameachana na BF wake Taylor
Haiyaaa tusubirie tuone what's goes on pande za kwa Ob
Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha yake iliyopata umaarufu na kuwa gumzo Iliyopostiwa na Terry Richardson ikiwa na caption, "Gaga showing
off her new engagement ring!"
Ila chanzo chetu kimekanusha hilo na kusema ni pete tuu na Gaga is not
engaged to anyone.
It's unclear if Gaga is
even dating anyone right now ... Kwani sio muda tangu wameachana na BF wake Taylor
Haiyaaa tusubirie tuone what's goes on pande za kwa Ob
NEY DIAMOND PAMOJA KUONESHANA NANI ZAIDI NDANI YA MUZIKI GANI
Kumbe inawezekana hip hop na rnb kwenda pamoja na kutengeneza moja ya bonge la song. Hii imekuja mara baada ya manguli hao kufanya bonge la kollabo wimbo unaoitwa muziki gani kati ya ney wa mitego ft diamond platnamz. kizuri zaidi ni stail walio itumia ya kubishana imeongeza radha ya muziki na kila mmoja konekana kuvutia kwake na kukaza ile mbayaa. unaweza ukacoment kupitia blog hii nani kamfunika mwenzake.
Thursday, March 14, 2013
HUYU NDIO ANAYEJIITA MSAFI KUTOKA A.J.T.C
Add caption |
Sunday, March 10, 2013
WALE WAPENZI WA MICHEZO LEO KIVUMBI FA TENA
Haya haya wadau wa soka leo FA CUP kuendelea tena pale old trafod kati ya manchester united dhidi ya the blues chelsea ikiwa ni robo fainali. huku historia ikionesha siku kama ya leo mwaka 1999 timu hizo zikikutana katika robo fainali ya kombe hili hili la fa na manchester united kufanikiwa kuingia nusu fainali. aidha kwa upande wa mashabiki wa timu hizi presha ni kutokana na timu zote mbili kutolewa kwenye machuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE. nani ni nani ni leo saa1:30 jioni.
HABARI KWENU WASOMAJI WANGU
Naitwa salumu juma langa ni matumaini yangu mu wazima wote ni siku nyingine tena kupitia blog hii unaendelea kupata habari tofaut tofauti nitumie fursa hii kukushukuru wewe ambaye unanipa sopoti ya kutosha nikusihii tu uendelee kusoma mara kwa mara blog hii asanteni sana mungu hawabariki siku nyema
MWANAMZIKI SUPER STAR DIAMOND PLATNAMZ AZUNGUMZIA UJENZI WAKE WA MSIKITINI
Mwanamziki super star bongo na maanisha nasibu abduli almaalufu kama diamond platnamz amezungumzia leo asubuhi kuhusiana na ahadi yake aliyo iweka kwamba atajenga msikitia
ameyanena hayo leo hii asubuhi kupitia supar bland radio top twenty na dj fet kwamba baada ya kumaliza kumjengea mama yake jumba moja la kifahari sasa muda si mrefu atajenga msikiti kama alivyokuwa ameahidi kwa lengo la kupata baraka zaid hata kama atakuwa hayupo tena duniani
ameyanena hayo leo hii asubuhi kupitia supar bland radio top twenty na dj fet kwamba baada ya kumaliza kumjengea mama yake jumba moja la kifahari sasa muda si mrefu atajenga msikiti kama alivyokuwa ameahidi kwa lengo la kupata baraka zaid hata kama atakuwa hayupo tena duniani
Saturday, March 9, 2013
HIVI NDIVYO MWANAMUZIKI HYPA ALIVYO ANDIKA KWENYE FACEBOOK JUU YA MOTHER"S DAY
appy mother's day, nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama yangu kwa kunizaa,kunilea na kunipa mahitaji yote muhimu mpaka kufikia leo najitambua najielewa na naweza kujitegemea. sina maneno mengi kwako mama yangu nachoweza kusema ni neno moja tu'' NAKUPENDA'' nikwambie nini tena.
TCRA KUFUNGIA VYOMBO VYA HABARI VIWILI NA KIMOJA FAINI
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.
Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.
Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.
Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili. source:Bongo5
© Sweetbert Philemon The Lake Zone Link™
Dyna Nyange aongelea siku ya wanawake
Naitwa dayna nyange. mwanamuziki wa bongo fleva.
Ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengine duniani kote ktk kuadhmisha cku ya wanawake duniani.
Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini wenyewe 2naweza tena bila hata ya kuwezeshwa. Nakupitia siku hii muhimu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea.
Ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengine duniani kote ktk kuadhmisha cku ya wanawake duniani.
Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini wenyewe 2naweza tena bila hata ya kuwezeshwa. Nakupitia siku hii muhimu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. pia nijukumu la kila mwanamke na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea.
Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA.
by Dayna Nyange.
Please Share This
Search
CONTACT US
BLOG AWARDS
Followers
ZINAZOKIMBIZA WIKI HII
-
Mbali na picha kuonesha hivyo Lady Gaga ukweli waja nje...!! Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha hapo juu iliyopata...
-
Baada ya kudownload wimbo huu usisahau kuonesha sapoti yako kwa sekunde chache tuu fungua link hapo chini na ku kuniwezesha kwa ku like ...
-
Download wimbo mpya wa Alikiba - My Eveything Produced by Lamar ukiwa ni ujio wake mpya baada ya kimya kirefu ndani ya Game Enjoy....
Saturday, March 2, 2013
NOKIA 105 | INAYOKAA NA CHAJI SIKU 35, ITAUZWA Tsh. 30,00/=
Baada ya Nokia 1100 huenda Nokia 105 ikaja kuwa simu maarufu zaidi hasa kwenye nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania.
Hii ni baada ya kampuni hiyo ya simu kuzindua simu hiyo yenye uwezo wa kutunza chaji kwa siku 35 kila unapochaji.
Simu hiyo imetengenezwa maalum katika maeneo ambayo umeme hakuna ama unasumbua lakini pia kama ‘backup phone’ pale zingine zinapozima.
Ikiwa inatarajia kuingia sokoni wiki kadhaa zijazo, Nokia 105 ambayo bei yake ni paundi 13, sawa na shilingi 30,000 za Tanzania pia ina tochi na FM radio.
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Links to this post