Monday, May 20, 2013
KALA JEREMIAH "SITAKI SAPRISE KWENYE HAPHY BIRTHDAY YANGU"
Rapa kala jeremiah aka mr dear god amefunguka kuwa kesho tarehe 21 ni siku yake ya kuzaliwa. Huku akiwaomba watu wake wote wa karibu wasimfanyie saprise yoyote katika siku hiyo. Akitaja sababu kubwa ya kutosherekia tena siku yake ya kuzaliwa ni kutokana na siku hiyo yake ya kuzaliwa ilikuwa siku ambayo yalitokea maafa makubwa sana tanzania ambapo meli ya mv bukoba ilizama na kuuwa maelfu ya watanzani kwaanzia siku hiyo kala amekuwa akiitumia siku hiyo kama siku ya kuwakumbuka waafa wote waliopoteza maisha katika siku hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment