WATOTO WADOGO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA CHINI YA 10 KUSHOTO MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA TOFARI MOJA
Friday, May 31, 2013
WATOTO JIJINI MBEYA WAACHA SHULE NA KUJIAJIRI KUBEBA MATOFARI KWA PICHA ZAIDI ANGALIA HAPA
WATOTO WADOGO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA CHINI YA 10 KUSHOTO MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA TOFARI MOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment