Kama kawa mtu mzima ney wa mitego mzee wa kudisi ameendelea na tabia yake baada ya kufunguka kwenye kituo cha redio CITZENI cha kenya kuhusiana na madee.
Friday, November 29, 2013
50 CENT "SIPENDI KABISA POMBE WALA KUVUTA SIGARA" NA WENGINE 9 WAFAHAMU HAPA
50 Cent ni miongoni mwa wasanii wasio
vuta wala kutumia kilevi chochote kutoka mbele nazungumzia obama land.
ALIKIBA "SASA NA AMKA USINGIZINI"
Mtu mzima alikiba amefunguka leo nakusema sasa anaamka usingizini mara baada ya kimya kirefu kwenye gemu
Sunday, November 24, 2013
ZITTO KABWE ATOA YA MOYONI NAYE LEO FUATILIA HAPA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA Zitto Kabwe amezungumza na Waandishi wa habari Dar es salaam kueleza ya moyoni kuhusu tuhuma yake ya kuvuliwa vyeo vyake kwenye Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA).
Friday, November 22, 2013
MZOZO KATI YA PETER MSECHU NA NEY WA MITEGO SOMA HAPA
BABU SEYA NA MWANAYE BADO WAENDELEA KUSOTA
Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza
'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za Wanasheria wa serikali za
kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.
Wednesday, November 20, 2013
ULIKUWA UNAJUA KWAMBA SIRI YA MCHEZO YA FID Q HAIKUTAKIWA KUTOKA SASA
Fareed kubanda fid q amefunguka na kusema kuwa ngoma yake mpya ya siri ya mchezo haikutakiwa kutoka sasa
KAKA AMSUSIA MDOGO ADAI SHEMEJI AJATULIA
COVER YA X FILE YA CRISSBROWN NA NYIMBO AMBAZO ZINAPATIKANA
Chissbreez ameachia mixtape yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la X FILE na ngoma sita ambazo zinapatikana humo ndani. kama wewe ni shabiki wa chriss brown unaweza download mixtape hiyo free kupitia website ya chriss brown!!!!!!! Hizi hapa nyimbo zake.
EAST COAST TEAM KURUDI TENAA NA NGOMA MPYA
Vichwa vitatu mahili namzungumzia mwana fa ay na crazy gk kurudia enzi kwa kutoa ngoma yao hivi karibuni ili kuirudisha eastcoast team mara baada ya mtu mzima gk kuachia ngoma yake ya baraka au laana na kusema kwamba atatoa wimbo wake mwingine
Friday, November 15, 2013
JARIDA LA GQ LAMPROVE KENDRICK LAMAR KUWA NDIYE RAPA BORA WA MWAKA
Picha, Kendrick Lamar Ndio Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ
Well kwenye mahojiano na mkali huyo wa rap yaliyotokea wakati mashairi yake kwenye wimbo wa Control yanazungumziwa zaidi Kendrick alisema "Sina tatizo na Drake ila Ataka kama ningekuwa nalo sidhani kama maisha yangu yange athirika"
Sunday, November 10, 2013
JUMA KASEJA NDANI YA YANGA TENA MIAKA MIWILI
Mlinda mlango bora Tanzania Juma Kaseja amesaini Mkataba wa miaka miwili na klabu ya Yanga kwa dau la Sh Milioni 40.Kaseja ametia wino kwenye mkataba huo akiwa na vigogo wa
Usajili wa Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb na Seif Ahmed ‘Magari’ mbele
ya Meneja wake, Abdulfatah Salim Saleh Ilala jijini Dar es Salaam.
Kaseja atakuwa klabu moja na makipa wawili aliowahi kufanya nao kazi Simba SC, Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’.
Hii inakuwa mara ya pili Kaseja kusajiliwa Yanga, baada ya awali kusajiliwa miaka mitatu iliyopita akitokea Simba SC ambako baada ya msimu mmoja wa Mkataba wake kuisha alirejea Msimbazi. Alitemwa na simba wakati huo kwa sababu ya kiwango kushuka.
Yanga SC itanufaika na uzoefu wake katika game za kimataifa na inataka inufaike naye katika Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2014.

MADEE NA NEY WA MITEGO KUMALIZA BIFUU
Ilisemekana
Kama mwaka moja uliopita wasanii Ney Wa Mitego Na Madee walikuwa na
beef kubwa na lilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.
Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba manzese na ndio Rais wa
Manzese huku Madee akijiita rais na Ney akisema hakuna Rais Manzese.
Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zika samba, Kwa sasa hawa jamaa ni mabeste kinoma. #Good

SHILOLE MIONGONI MWA MSANII ANAEZIMIA TSHETI YA TEMA MATE TUWACHAPE YA MADII
Vijana
wawili kutoka Manzese ndio wanahusika na hii kazi ya kutengeneza na
kuuza T Shirt zenye Logo ya Tema Mate Tuwachape ambazo mpaka sasa
wameuza T Shirt Mia Nane. Fahamu kuwa kila pesa wanayotengeneza ni ya
kwao na Madee hachukui kitu.
Ni bonge la shavu kutoka kwa Madee kwa vijana wake ambao sasa wana maisha bora baada ya mchongo huu kuwatoa kifedha.
Ni bonge la shavu kutoka kwa Madee kwa vijana wake ambao sasa wana maisha bora baada ya mchongo huu kuwatoa kifedha.
Friday, November 1, 2013
SHETA NIMEPATA FAIDA KULIKO HASARA MIMI KUTOKA DAR STAMINA
Mtu mzima sheta mkali wa hit kibao kama sina imani amefunguka kuwa amepata faida alivyotoka stamina kwani kwa sasa anapata shoo za maana ambazo zinafanya kupata kipato kikubwa cha kukidhizisha mahitaji muhimu kama ya familia hivi
Sheta aliendelea kufunguka kuhusiana na track ya sina imani aliyomshirikisha rich mavoco na kusema kuwa aliamua kuifanya hiyo track coz alikuwa anaambiwa anaimba mapenzi sana so akaamua kutunga wadzaini hvyo ili kuelimisha kidgo
pia aliongeza kuwa pamoja ya kuwa yeye ni rapper lakini pia anajitahidi kufanya rap na biashara kwani nina uwezo wa kurap kwenye bit za bongo fleva mfano kuna nyimbo mpya niliyoshirikishwa na abby skills na kuna ngoma nilifanya na alikiba ambapo mimi nikachana

OFFICIAL REARESEAD YA NGOMA MPYA MPYA YA SHAAA
Subscribe to:
Posts (Atom)