Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA Zitto Kabwe amezungumza  na Waandishi wa habari Dar es salaam kueleza ya moyoni kuhusu tuhuma  yake ya kuvuliwa vyeo vyake kwenye Chama cha Demokrasia na 
Maendeleo (CHADEMA).
‘Zitto kabwe alizungumza kabwa yeye bado ni Mwanachama wa CHADEMA na atatoka kwa hiari yake yeye mwenyewa na atafuata kanuni na sheria za chama chake cha chadema  katika kuhitimisha jambo hilo…na pia ikumbukwe kabwa mimi mimi ni binadamu, na  nimejiunga na hiki chama tangu nina umri wa miaka 16 
hivyo siwezi kukisaliti chama changu. Alisema zitto 
aliendelea kusema kuwa anaumia sana anaposikia kuwa anakihujumu chama kwani amefanya    kazi  za Ubunge kwa 
weledi mkubwa kuhakikisha anakisimamisha chaa  ma cha chadema… tuhuma ambazo anahusishwa nazo zinamkwaza sana huku akisema kwamba mimi ni Mwanadamu, kama wengine  
hakuna mwanadamu ambae hana udhaifu lakini basi kuna mengi mema ambayo 
nimeyafanya
‘Pia aliwataka wanachama wa chadema  kuwa kinachoendelea ndani ya chadema ni kukuza demokrasia ni si chochote kile huku akikanusha tuhuma zake zote alizohusishwa nazo na kusema kwamba mpka sasa hajapokea barua ya aina yoyote kutoka chadema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment