Video Ya Weka Ngoma Ya Rapper wa Am Records, Darasa Haitatoka Tena kwa mujibu wa rapper huyo.
Video Ya Weka Ngoma Ya Rapper Darasa ft Ditto wa Tht iliyofanywa na 
Director Abbas Adam imefutika baada ya kutokea itilafu ya mitambo ya 
Director huyo na kufuta vipande vya video hio iliyofanyika Kawe eneo la 
Tanganyika Packers.
Darasa amesema ameshindwa kuleta watu walioshiriki video hio pamoja tena
 kuifanya kwa mara ya pili na ameamua kufanya video ya kazi nyingine 
zitakazo toka hivi karibuni. Video ilifanyika  Tarehe 4/8/2013.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment