Ilisemekana
 Kama mwaka moja uliopita wasanii Ney Wa Mitego Na Madee walikuwa na 
beef kubwa na lilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. 
Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba manzese na ndio Rais wa 
Manzese huku Madee akijiita rais na Ney akisema hakuna Rais Manzese.
Siku
 zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na 
kupiga show kwenye jukwa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio 
kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zika samba, Kwa 
sasa hawa jamaa ni mabeste kinoma. #Good
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment