Kama kawa mtu mzima ney wa mitego mzee wa kudisi ameendelea na tabia yake baada ya kufunguka kwenye kituo cha redio CITZENI cha kenya kuhusiana na madee.
Ney amesema kuwa akubaliani ya kwamba madee ni miongoni mwa wasanii bongo wanaoingiza mkwanja mrefu bongo bali wimbo uliomwingizia mkwanja madee ni nani kamwaga pombe yangu tu.
Alieendelea kusema unaposema madee ni msanii anayeingiza pesa nyingi unakosea kwani haiwezekani kwa kuhit kwa ngoma hiyo bac ndo msanii anayeingiza mkwanja mrefu alifunguka mtu mzima ney wakati akihojiwa na mtangazaji william luto wa citzen.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment