baadhi ya picha ya diamond kwenye video ya wimbo wake wa number one remix ambayoa amemshirikisha davido wa nigeria. video ambayo imefanywa na director kutoka nigeria clarence peters ambaye aliyefanya video ya alingo ya psquare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment